Home Podcasts SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS 911 Episodes Oct 15, 2026

Taarifa huru na hadithi kutoka SBS Audio, zinazokuunganisha na maisha nchini Australia na Waaustralia wanaozungumza Kiswahili. Kipindi hiki kinatoa habari za kujitegemea na hadithi za kuvutia kwa jamii ya Waswahili nchini Australia.

Episodes

Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945
Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945 Oct 15, 2026 00:05:21 Wito wa kupunguzwa kwa kodi unaongezeka baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha wapiga kura wengi wanataka serikali ifanye mengi zaidi kusaidia wapangaji.Ripoti ya Mchunguzi wa malalamiko wa Jumuiya ya Madola imebainisha kuwa watu 30 walizuiliwa kimakosa na Idara ya Mambo ya Ndani katika mwaka wa fedha wa 2024–25. Miongoni mwao yumo raia wa Australia aliyeshikiliwa katika kituo cha kizuizi cha uhami
How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi.
How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi. Oct 13, 2026 00:09:31 How are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea becomes a bill, passes through Victoria’s parliament and receives royal assent, the formal approval that makes it law. - Je, sheria hutungwaje nchini Australia? Kupitia simulizi ya Mzee wa ukoo wa Wurundjeri, Mjomba Dave Wandin, kuhusu Birrarung—amba
Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia
Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia Oct 13, 2026 00:15:36 Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitangaza kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 630 leo.
Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia
Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia Oct 13, 2026 00:08:02 Wakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi kwa kuruhusu Waaustralia kuzishtaki kampuni kubwa za teknolojia kutokana na madhara yanayotokea mtandaoni.
Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia
Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia Oct 12, 2026 00:14:07 If you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private health system, it is important to understand your options and know where to reach out for advice to make the right decision for you and your baby. - Kama wewe ni mzazi kwa mara ya kwanza nchini Australia, kuchagua mahali na namna ya kujifungua kunaweza
Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño"
Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño" Oct 9, 2026 00:14:31 Australia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.
Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu
Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu Oct 9, 2026 00:14:21 Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It takes about 20 minutes, once every two years, and it’s an effective way to take charge of our health. Let’s take a closer look at why a breast screen is nothing to be anxious about. - Uchunguzi wa mara kwa mara wa matiti un
Makala Leo: Mzozo kuhusu ubomoaji wa minara mjini Melbourne wafikishwa katika mahakama kuu
Makala Leo: Mzozo kuhusu ubomoaji wa minara mjini Melbourne wafikishwa katika mahakama kuu Oct 9, 2026 00:08:10 Mzozo wa kisheria kuhusu mpango wa Serikali ya Victoria wa kubomoa majengo marefu kadhaa ya makazi ya umma unaelekea katika Mahakama Kuu.
Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya Kenya wahoji maandalizi ya serikali kudhibiti Ebola
Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya Kenya wahoji maandalizi ya serikali kudhibiti Ebola Oct 9, 2026 00:08:37 Baadhi ya wahudumu wa afya nchini Kenya wamehoji kiwango cha maandalizi ya kukabiliana na Ebola, wakisema wafanyakazi walio katika mstari wa mbele hawana mafunzo wala vifaa vya kutosha vya kujikinga.
Taarifa ya Habari:Kikosi maalum cha polisi kuzinduliwa kufuatia tukio la fukwe ya Bondi
Taarifa ya Habari:Kikosi maalum cha polisi kuzinduliwa kufuatia tukio la fukwe ya Bondi Oct 8, 2026 00:05:39 Jeshi la Polisi la New South Wales limesema timu mpya ya wataalamu, itaanza mazoezi ya mafunzo ya umma, kama sehemu ya kukabiliana na shambulio baya la fukwe ya Bondi ambalo liliua watu 15 Desemba iliyopita.
Yaliyojiri Afrika:Hali ya wasiwasi yaendelea mjini Mekelle baada ya waasi wa TPLF kuondoka
Yaliyojiri Afrika:Hali ya wasiwasi yaendelea mjini Mekelle baada ya waasi wa TPLF kuondoka Oct 6, 2026 00:06:43 Vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Ethiopia vimeingia mjini Mekelle, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya waasi wa TPLF kutangaza kuondoka kufuatia mapigano yaliyozuka hivi karibuni.
Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi
Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi Oct 6, 2026 00:06:02 After receiving a fine for not wearing his motorbike helmet correctly, Hugo decides to have the matter heard in court. His story explains how Parliament, government and the courts have different roles, and how some official decisions can be questioned. - Baada ya kupewa faini kwa kutovaa kofia ya pikipiki ipasavyo, Hugo anaamua kulifikisha suala hilo mahakamani. Hadithi yake inaeleza jinsi Bunge,

Recommended